Mama Samia Suluhu akabidhi tuzo za Rais kwa wazalishaji Bora wa Viwanda vya ndani 2016

598
0
Share:

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan Suluhu amesema Tanzania itaendelea kupiga hatua kupitia Sekta ya Vinda hasa katika kuimalisha uchumi ikiwemo uchumi wa Kati hii ni pamoja na kuimalisha viwanda vyake vya ndani vilivyopo na vile vinavyoendelea kujengwa na watu mbalimbali wakiwemo wawekezaji wa nje na wazawa.

Mama Samia ameyasema hayo mapema leo Aprili 8.2017 Jijini Dar e Salaam wakati akikabidhi tuzo kwa washindi mbalimbali  walioshinda tuzo za Rais kwa wazalishaji Bora wa Viwandani kwa mwaka 2016.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan Suluhu akisoma moja ya broshua wakati wa kutembelea moja ya mabanda ya maonyesho katika tukio hilo la utoaji wa tuzo hizo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan Suluhu akikabidhi tuzo kwa washindi wa tuzo hizo (PICHANI JUU NA CHINI) Leo wakati wa utoaji wa tuzo hizo Jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan Suluhu akipata picha ya pamoja na viongozi wakuu wa waandaji wa tuzo hizo ambazo kwa mwaka huu ni wa 11, tokea kuanzishwa kwake.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan Suluhu akipata picha ya pamoja na baadhi ya Wanawake walioshiriki tukio hilo. (Picha zote na Andrew Chale-MO BLOG)

Share:

Leave a reply