Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin ang’arisha jukwaa la Stara Fashion Week 2016

273
0
Share:

Baada ya mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin kuendelea kufanya vizuri  huko Marekani kwa kufanya Fashion Show kadha wa kadhaa  ikiwemo ile ya “Dicota 2016” mchana wa jana aliweza kung’ara tena ndani ya ardhi ya Tanzania  kwenye jukwaa linalokuja kwa kasi la mavazi ya Stara lijulikanalo kama  Stara Fashion Week 2016.

Katika jukwaa hilo Mama wa Mitindo Asya alipanda nan mavazi mbalimbali ya Stara ambayo pia yalikuwa miongoni mwa mavazi bora na yenye kuvutia kwa watu wote  ndani ya ukumbi wa City Garden Restaurant uliopo Kamata.

Pia Mama wa Mitindo aliweza kupata tuzo maalum kama Mkongwe katika mavazi tuzo ambazo zinatolewa na jukwaa hilo la Stara Fashion Weeek.

Mbali na mitindo ya Stara, pia bidhaa mbalimbali ziliuzwa kwa mahitaji ya  wanawake wanaume na watoto kwa manunuzi ya vitu mbalimbali, kama vile Mabaibui,Mitandio Madera kwa ajila ya Mwezi mtukufu wa Ramadhani, evening dresses, kanzu, Udi Vyetezo na vitu vingine pia kulikuwa na wchora heena kwa bei nafuu.

Ungana na Andrew Chale katika picha bora za awali kwenye tukio hilo hapa:

DSC_6565 DSC_6569 DSC_6571 DSC_6573 DSC_6575 DSC_6576 DSC_6577 DSC_6579 DSC_6581 DSC_6582 DSC_6583 DSC_6586 DSC_6593 DSC_6593 DSC_6595 DSC_6597 DSC_6598 DSC_6614 DSC_6616 DSC_6619 DSC_6621 DSC_6625 DSC_6626 DSC_6628 DSC_6630 DSC_6621 DSC_6630 DSC_6635 DSC_6636 DSC_6641 DSC_6643 DSC_6648 DSC_6653 DSC_6659 DSC_6666 DSC_6669DSC_6593

DSC_6692Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin akitoa shukrani wakati wa kutambulisha mavazi yake hayo (kuanzia picha ya kwanza hadi mwisho kwa picha hii). DSC_6712 DSC_6717Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin akipokea tuzo maalum ya Stara fashion Week 2016 

 DSC_6482 DSC_6485 DSC_6498 DSC_6499 DSC_6500 DSC_6507 DSC_6509 DSC_6511 DSC_6511 DSC_6494 DSC_6492 DSC_6488 DSC_6485 DSC_6507 DSC_6515 DSC_6517 DSC_6521 DSC_6522 DSC_6524 DSC_6526

Vazi la harusi..

DSC_6533 DSC_6535 DSC_6534 DSC_6552

DSC_6692

Mtangazaji wa Chaneli Ten, Zeinny akipokea tuzo yake aliyoshinda kwa kipindi bora cha fashion cha Profile abd Style.

DSC_6701

DSC_6712

DSC_6724

DSC_6734

DSC_6745

DSC_6752Picha ya pamoja kwa washiriki wa maonyesho kwenye jukwaa hilo la Stara Fashion Week 2016

(Picha zote na Andrew Chale,Modewjiblog)

Picha zaidi tazama ndani ya blog hii upande wa Fashion

 

Share:

Leave a reply