Maria Sarungi afungua kesi dhidi ya Musiba na Mhariri wa gazeti la Tanzanite

108
0
Share:

Mwanaharakati Maria Sarungi Tsehai amefungua kesi ya madai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Cyprian Musiba na Mhariri wa Gazeti la Tanzanite kwa kumkashifu na kuchafua jina lake kupitia mkutano wake na Wanahabari tarehe 25 Mwezi Februari, 2018.

Share:

Leave a reply