Matukio ya Bunge leo Juni 21.2016

361
0
Share:

SIMU.tv:  Mbunge wa viti maalum Mhe. Salome Makamba aitaka serikali kuzuia kuingizwa kwa vitendea kazi hatarishi vinavyohatarisha maisha ya wafanyakazi wa migodini. https://youtu.be/KL7TALHZ9FU

SIMU.tv:  Mhe. Jafo atoa ufafanuzi juu ya utatuzi wa suala la uhaba wa miundombinu rafiki na uhaba wa maji kwa mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya. https://youtu.be/LSsa8JqkNeg

SIMU.tv:  Mhe. Augustino Masele aitaka serikali kuunga mkono juhudi za wananchi katika kuimarisha sekta ya afya vijijini ili kuboresha huduma za afya. https://youtu.be/naGtE3hdg-k

SIMU.tv:  Hizi hapa sababu zilichangia ubalozi wa Tanzania kufungua ubalozi wake nchini Israel baada ya kukata mahusiano yake hapo nyuma. https://youtu.be/g8a6nz-ZVJo

SIMU.tv:  Mhe. Lucy Michael aihoji serikali juu ya ukamilishaji wa ujenzi wa barabara ya Njombe hadi Makete kwa kiwango cha lami. https://youtu.be/oGw1cDCkK90

Share:

Leave a reply