Mayweather anogesha tetesi za kurejea jukwaani kuzichapa na McGregor

238
0
Share:

Kwa wiki za karibuni kumekuwepo na tetesi ambazo zinasambaa katika mitandao mbalimbali kuwa bondia, Conor McGrenor atapambana na Floyd Mayweather baada ya pande mbili za mabondia hao kukubaliana.

Licha ya mwaka jana, Mayweather kutangaza kustaafu lakini alipokuwa akizungumza na mtandao wa fightyhype.com alisema kuwa wao ni mabondia tena wakubwa hivyo lolote laweza kutokea.

“Inawezekana, Inawezekana,Inawezekana,

“Tetesi unazozisikia ndiyo za kwanza. Zinaweza kuwa sio tetesi … ni bondia na mpiganaji wa MMA, hatujui itakuwaje,” alisema Mayweather.

Share:

Leave a reply