Mazungumzo kati ya Kamati ya Rais JPM na kampuni ya Bharti yaanza

86
0
Share:

Mazungumzo kati ya Kamati Maalum iliyoundwa na Rais Dkt. Magufuli na Kampuni ya Bharti Airtel inayomiliki hisa katika kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania yameanza rasmi leo tarehe 12 Machi, 2018 Jijini Dar es Salaam.

Share:

Leave a reply