Mbunge wa Siha ajivua uanachama wa Chadema na kujiunga CCM

460
0
Share:

Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Olyece Mollel (Chadema) ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge, kujivua uanachama wa Chadema na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).

Share:

Leave a reply