Mbunifu wa mitindo Makeke amekuja na ujio mpya wa OTOSIM 2017

569
0
Share:

Unapomuongelea MAKEKE si jina geni kwenye Tathnia ya mitindo Tanzania na Afrika kwa ujumla, Mwaka Jana alikuja na collection ya aina yake iliyoitwa TABID – The African Beauty in The darkness, ( uzuri wa afrika gizani) collection hio imefanya vzuri sana 2016/2017 kwan imeoneshwa kwenye Majukwaa mbalimbali makubwa ya Mitindo.

Mwaka huu mwanamitindo huyu asiyeishiwa MAKEKE amekuja na kitu kipya kabisa, kiitwacho OTOSIM2017 – ON THE OTHER SIDE OF MAKEKE, akiwa na maana ya ladha/ubunifu  wa aina nyingine. Kwa mara ya kwanza OTOSIM imeonyeshwa kwenye jukwaa kubwa la Zanzibar Swahili Festival  hivi karibuni  na kufanya maajabu makubwa jukwaani,  hali iliyoiua shangwe kwa kila mmoja.

Makeke msanii huyu Wa mitindo ameahidi mambo mengi matamu kwa mwaka  kwa sasa kwani lengo ni kuzidi kupaa katika anga la Afrika na Duniani kwa ujumla.

Mitindo hiyo mipya ya MAKEKE

Share:

Leave a reply