Mchezo wa Ligi ya Mabingwa kati ya Man City na Borussia Moenchengladbach wahairishwa

212
0
Share:

Usiku wa Jumanne ya Septemba, 13 michezo ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya imeanza kwa michezo nane kutaraji kupigwa lakini taarifa ambayo imetolewa hivi punde ni kuwa mchezo wa Manchester City na Borussia Moenchengladbach umehairishwa.

Sababu ya kuhairishwa kwa mchezo huo ni kunyesha kwa mvua kubwa katika uwanja wa Manchester City wa Etihad.

Taarifa ya kuhairishwa kwa mchezo huo imetolewa katika akaunti ya Twitter ya Manchester City na kueleza sababu ya kuhairishwa kwa mchezo huo ni hali ya hewa ya uwanja unaotaraji kutumika.

4928Maafisa wa UEFA wakikagua uwanja wa ETIHAD

5017

Share:

Leave a reply