Mijadala kutoka Bungeni leo Juni 7

304
0
Share:

SIMU.TV: Mhe.Martin  Msuha aihoji serikali juu ya kukamilika kwa mradi wa barabara kutoka kijiji cha Longa hadi Litoha wilayani Mbinga.     https://youtu.be/t4yElVCsSto

SIMU.TV: Mhe.Grace Tendega akiuliza swali kuhusu tatizo la maji katika vijiji vya kata ya Ngawila, Mseke na Ifunda mkoani Iringa.   https://youtu.be/ZlkJD7fndVY

SIMU.TV: Mhe Japheti Hasunga akiuliza swali juu ya kuwaondoa wenyeviti wa halmashauri ili kupunguza gharama ya uendeshaji ndani ya serikali.    https://youtu.be/O8FyqwQa1z0

SIMU.TV: Mhe. Juma Nkamia akiuliza swali la nyongeza kuhusu wakuu wa wilaya kuwaomba hela za mafuta wakurungezi.  https://youtu.be/Hu8_NGlzXn8

SIMU.TV: Mhe.Amina Mollel akiuliza swali kuhusu ujenzi wa barabara ya  kutoka Arusha kuelekea chuo cha  Nelson Mandela.   https://youtu.be/QVGc8WObYKM

SIMU.TV: Mbunge wa mtera Mhe.Livingston Lusinde juu ya utekelezaji wa ahadi ya rais kutoka Mlowa hadi Mvumi kwenye hospitali ya mvumi Misiion.   https://youtu.be/4XlZsZyzO58

SIMU.TV: Je nini kauli ya serikali juu ya manufaa ya mradi wa skimu ya Luati kwa wananchi ikiwa serikali imetumia zaidi ya Sh. Mil 800.  https://youtu.be/zzrJY5sXK6Y

SIMU.TV: Hii hapa hatma ya upatikanaji wa mawasiliano kwa baadhi ya vijiji vilivyopo Mkuranga ili wananchi waweze kuendeleza shughuli zao za kiuchumi.    https://youtu.be/d7orn37kuFc

SIMU.TV: Mhe. Masauni aondoa sintofahamu juu ya utata wa eneo la kata ya misukumilo wilaya ya Mpanda kuwa na umiliki wananchi na Jeshi.   https://youtu.be/yeD6kI89rb0

Share:

Leave a reply