Miss Super Model 2017 Asha Mabula akabidhiwa bendera ya Taifa kwenda China

557
0
Share:

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imemkabidhi bendera ya Taifa mshiriki wa mashindano ya Miss Word Super Model 2017, Miss. Asha Ally Mabula anatarjia kuondoka leo kuelekea Macau nchini China ambapo atashiriki mashindano hayo yanayotarajia kuanza  Mei 21-28.

Tukio hilo la kukabidhiwa bendera limefanyika leo  19 Mei 2017 katika ofisi za Wizara hiyo za Jijini Dar e salaam na Mkurugenzi wa Sanaa kutoka Wizara hiyo, Bi. Leah Kihimbi.

Mkurugenzi wa Sanaa kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Leah Kihimbi akizungumza mapema leo Jijini Dar es Salaam muda mfupi wakati wa tukio la kukabidhi bendera ya Taifa kwa Miss Super Model wa Tanzania ambaye anaenda nchini China kwenye Miss Word Super Model 2017, Miss. Asha Mabula. Kulia ni Mwakilishi wa BASATA, Flora Mgonja. Kushoto ni Mratibu wa Miss Super Model  Ibrahim Thabit

Mratibu wa Miss Super Model  Ibrahim Thabit akizungumza katika tukio  hilo

 Mwakilishi wa BASATA, Flora Mgonja akizungumza katika tukio hilo

 Mwakilishi wa BASATA, Flora Mgonja akizungumza katika tukio hilo

Miss. Asha Mabula Super Model 2017 akizungumza katika tukio hilo

Mkurugenzi wa Sanaa kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Leah Kihimbi  akimkabidhi bendera ya Taifa kwa Miss Super Model wa Tanzania ambaye anaenda nchini China kwenye Miss Word Super Model 2017, Miss. Asha Mabula.

Mkurugenzi wa Sanaa kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Leah Kihimbi  akikabidhi bendera ya Taifa kwa Miss Super Model wa Tanzania ambaye anaenda nchini China kwenye Miss Word Super Model 2017, Miss. Asha Mabula. Kushoto ni Mwakilishi wa BASATA, Flora Mgonja.  anayemfuatia Mkurugenzi ni Mratibu wa Miss Super Model  Ibrahim Thabit.(Picha zote na Andrew Chale)

Share:

Leave a reply