Mkurugeni Mtendaji wa EWURA amtembelea Spika wa Bunge

337
0
Share:

Mkurugeni Mtendaji wa EWURA Bw. Felix Mgamlagosi amemtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam Spika wa Bunge wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mh. Job Ndugai na kuzungumza mambo mbalimbali katika tukio hilo fupi.

5 (1)

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Bw. Felix Mgamlagosi aliyemtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Kulia Ni Afisa Meneja Mahusinao wa EWURA Bw Titus Kaguo.

3 (2)

 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Bw. Felix Mgamlagosi aliyemtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

1 (2)

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson kizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati Kamati hiyo ilipokutana na  Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa.

2 (2)

Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akifuatilia Mjadala kati ya  Wajumbe wa  Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa alipoitembelea kamati hiyo. Anayezungumza  kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Balozi Adadi Rajabu  na (kulia mwenye tai yekundu) ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Charles Kitwanga.

Share:

Leave a reply