Msanii kutoka (NTT) amwaga mistari yake kwa uchungu

294
0
Share:

Msanii wa Muziki wa Bongo Flava kutoka New Talents Tanzania (NTT)  Helton Dickson yupo katika harakati za kutafuta njia ya kutokea kupitia Muziki, amefunguka na kumwaga Mistari yake huku akiwa na hisia kali kwenye mashahiri yake.Msanii huyo  amebainisha kuwa, kwa sasa anauchungu na hasira ya kufa mtu katika muziki, hivyo anaamini uwezo wake katika kipaji chake cha kuimba na kutunga vinaweza kumfikisha mbali endapo atapata usimamizi mzuri yaani Management.

Unaweza kumsikiliza  na kumtazama uwezo wa msanii Helton kupitia video hii hapa chini,

Msanii wa Muziki wa Bongo Flava kutoka New Talents Tanzania (NTT) Helton Dickson yup

Kawaida

Share:

Leave a reply