Mvua yazuia watalii kutembelea Hifadhi ya Ziwa Manyara

86
0
Share:

Mamlaka ya Hifadhi nchini (TANAPA) imewasihi wageni ambao wamepanga kutembelea Hifadhi ya Ziwa Manyara kwa sasa kuahirisha kwa muda kutokana na daraja la Mto Merera lililopo kilometa moja kutoka lango kuu la kuingilia hifadhini kuchukuliwa na maji.

Share:

Leave a reply