Mwandishi wa habari TBC Taifa mkoa wa Singida, Leonard Manga auga ukapera

311
0
Share:

Picha za mwandishi wa habari TBC Taifa mkoa wa Singida, Leonard Manga aliyeuga ukapera na kufunga ndo na  Restuta Mushumbushi,katika kanisa la KKKT Unyankindi mjini Singida hivi karibuni. Modewjiblog team inawatakia maisha mema na yenye Baraka tele katika safari yenu mpya ya mke na mume na Mungu awajaalie uzao mwema.

 

Leonard Manga

Bwana na bibi harusi  harusi Leonard Manga na Restuta Mushumbushi, wakifurahia jambo muda mfupi baada ya ndoa yao kufungwa wiki iliyopita kwenye kanisa la KKKT Unyankindi mjini Singida.
Restuta Mushumbushi
Bwana na bibi harusi harusi Leonard Manga na Restuta Mushumbushi, wakipozi kwenye picha ya pamoja kando kando ya bwawa la Kindai mjini Singida.(Picha na Nathaniel Limu).
IMG_5139
Share:

Leave a reply