mwenyekiti ccm rais magufuli azungumza na wajumbe wa nec dodoma

441
0
Share:

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli mapema leo pamoja na Katibu Mkuu wa wa chama hicho, Abdulrahman Kinana  wameketi na kuzungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC uliofanyika mjini Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula mara baada ya kuwasili katika eneo la mkutano wa na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC uliofanyika mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wajumbe Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC mjini Dodoma. Wa pili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein aliyeketi pamoja na Katibu Mkuu wa (CCM) Abdulrahman Kinana.

Wajumbe mbalimbali wa NEC wakizungumza katika mkutano huo uliofanyika mjini Dodoma.

Wajumbe mbalimbali wa NEC wakizungumza katika mkutano huo uliofanyika mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasikiliza wajumbe mbalimbali wa NEC walipokuwa wakijitambulisha katika mkutano huo wa NEC mjini

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Katibu Mkuu wa (CCM) Abdulrahman Kinana wakati alipokuwa akiwasili katika eneo la Mkutano na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC uliofanyika mjini Dodoma.

Share:

Leave a reply