Naibu Spika afungua Semina kwa Wabunge uelewa wa Haki za Watu wenye Ulemavu

253
0
Share:

 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dk. Tulia Ackson amefungua rasmi semina kwa Wabunge juu ya uelewa wa haki za watu wenye Ulemavu nchini, Tukio lililofanyika  kwenye Ukumbi wa Bunge wa Msekwa mjini Dodoma jana.

 Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akifungua semina hiyo

 

 Baadhi ya wabunge wakihudhuria kwenye semina hiyo

 Zedi akiongoza majadiliana wakati wa semina hiyo

 

Share:

Leave a reply