Naibu Waziri wa Michezo, Mh. Wambura akutana na Wasanii wa kikundi cha Albino Culture Troup

227
0
Share:

Naibu Waziri Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura amekutana na  wasanii wa kikundi cha sanaa na utamaduni cha Albino Revolution Troup kutoka Wilayani Temeke walipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili walemavu katika kutekeleza majukumu yao ya kisanaa hapa nchini.

albino 1Naibu Waziri Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa kwanza kulia akiongea na wasanii wa kikundi cha sanaa na utamaduni cha Albino Revolution Troup kutoka Wilayani Temeke walipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili walemavu katika kutekeleza majukumu yao ya kisanaa, kulia kwa naibu waziri ni Mkurugenzi wa kikundi hicho Bw. Titto Mtanga

abino 3Naibu Waziri Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa kwanza kulia akipokea moja ya kazi ya Kikundi cha Albino Revolution Culture Troup kutoka kwa Mkurugenzi wa kikundi hicho Bw.  Titto Mtanga wakati walipomtembelea Mh. Wambura ofisini kwake kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili walemavu katika kutekeleza majukumu yao ya kisanaa.

(Picha zote na Benjamin Sawe-WHUSM).

Share:

Leave a reply