NECTA yatoa matokeo ya darasa la saba 2017, yasome hapa

238177
0
Share:

Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi kwa mwaka 2017.

Kwa mwaka 2017 ufaulu wa wanafunzi umeongezeka kwa asilimia 2.4 kutoka mwaka 2016, idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani ni 909,950 na wanafunzi 662,035 wamefaulu.

Kusoma matokeo yote ya darasa la saba fungua hapa.

Share:

Leave a reply