NEW MUSIC VIDEO: Harmonize – Niambie

2870
0
Share:

Mwanamuziki Harmonize ambaye anafanya kazi chini ya lebo ya Diamond Platnumz (WCB Wasafi) ameachia video ya wimbo wake mpya wa Niambie ambayo amemtumia mwigizaji na mpenzi wake, Jacqueline Wolper kama video queen.

Share:

Leave a reply