NEWS ALERT: Rais Magufuli amteua Dk. Asha Rose Migiro kuwa Balozi wa Uingereza

202
0
Share:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, amemteua Dk. Asha Rose Migilo kuwa Balozi wa Uingereza ambapo kesho Mei 5.2016, anatarajia kuapishwa rasmi katika Ikulu ndogo ya Chamwino.

Taarifa ya Ikulu

Share:

Leave a reply