Party ya mwaka mmoja wa kipindi cha Michezo cha kituo cha Radio E-fm, Sport headquarters

401
0
Share:

Mtandao wako bora kabisa unakuletea moja kwa moja (LIVE) tukio la mwaka mmoja wa kipindi cha Michezo cha kituo cha Radio E-fm, Sport headquarters. Tukio hili linafanyika hapa  katikati ya Jiji la Dar es Salaam..

Wadau mbalimbali wa michezo na wasikilizaji pamoja na wachambuzi wa michezo wapo hapa wakifuatilia tafrija hii ya ‘Party’ maalum katika mgahawa wa sport rounge katikati ya jiji la dar-es-salaam muda huu.

efm223Keki maalum ya E-fm, Sport HQ..

efmhhIbrahim Masoud (Maestro)  akifanya mahojiano moja kwa moja na kipindi cha E-fm Sports ..

efmhWadau wa E- fm wakifuatilia Party hiyo moja kwa moja…

efgMsikilzaji mahiri wa e-fm sports, Chichalito akihojiwa na Maestro ..

efm njauBondia wa kike, Pendo Njau akiwa katika tafrija hiyo..

efmjMaestro akifanya mahojiano na Ofisa habari wa TFF, Omary Kiziguto..

efmjjhMdau wa michezo na shabiki nguli wa klabu ya Yanga, Karigo Godson akipata kutoa maoni yake moja kwa moja kwa kipindi cha e-fm sport headquaters..

efmjjKikosi cha e-fm sports headquarters wakiwa moja kwa moja wakiendelea na kipindi ..

efmjkaTunu Hassan (Mildfida) akitangaza ‘live’

efmkOmary Katanga akiwa ‘live’ akitangaza kipindi moja kwa moja… 

efmkjjYusuph Mkula akitangaza ‘live’..

efmkkjWadau wakiwa ‘live’

efm77

eFM

Wadau  e fm wakiwa katika tukio..

efm8

E fm..

Efm3

Wadau wakiwa katika picha ya pamoja..

EFM

Wadau wakiwa katika shughuli hiyo..

efg

efmhjMaestro akifungua moja kwa moja kipindi cha  e fm, sport HQ.. (Picha zote na Andrew Chale,Modewjiblog)

Share:

Leave a reply