Pata dondoo za Magazeti ya leo Mei 8 kupitia Luninga hapa

230
0
Share:

TBC: Papa wa Sukari adakwa, Magufuli akomaa vigogo wa sukari, Utumbuaji majipu kuhamia CCM, Lugumi mchezo mchafu. Tazama magazeti. https://youtu.be/dC_lmhhiSqM

CH10: Magufuli amtosa JK, Lugumi aishi kifalme, Papa wa sukari adakwa, Wabunge watuhumiwa kuua Albino, Sukari yadakwa. Tazama magazeti. https://youtu.be/qAVyo70GT3k

Share:

Leave a reply