Pata habari muhimu kutoka vituo vya televisheni leo 4 Machi

Msomaji wa Mtandao wa Modewjiblo kila siku mtandao wako pendwa na bora utakuwa ukikuletea habari kemkem kutoka vituo vya habari ikiwemo Taarifa ya habari, Uchambuzi wa Magazeti na Habari mbalimbali kutoka vituo vyetu vya televisheni kwa kushirikiana na Simu tv. Cha kufanya ni kibonyeza kiunganishi cha Habari hapo chini (Click Links)
.
SIMU.TV: Jifunze mambo mbalimbali kutoka kwa Clement Sila, akikuelimisha mengi kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii:https://youtu.be/kaKrfp4zx2k
SIMU.TV: Fahamu mambo megi kutoka kwa wadau wa TAMWA, wakikufahamisha kuhusu masuala ya pombe na ukatili wa kijinsia:https://youtu.be/MAufj-4N4XE
SIMU.TV: Yajue mengi kutoka kwa mkuu wa wilaya ya Chemba kutoka mkoani Dodoma,akikujuza kuhusu mikakati mbalimbali ya kutatua changamoto katika elimu:https://youtu.be/XyL6v7XK1AE
SIMU.TV: Fahamu mengi kutoka kwa Sheikh Maalim Mziwanda, akikudadavulia kuhusu umuhimu wa kupata elimu katika mazingira bora:https://youtu.be/coBn9s1YXJg
SIMU.TV: Rais Shein aeleza matumaini ambayo rai wa Tanzania na Kenya wanayo juu ya mradi wa barabara unaounganisha nchi hizo mbili;https://youtu.be/-ZkJ_JD1jMEÂ Â
SIMU.TV: Mhe. Jenister Mhagama ametengua uteuzi wa kaimu mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi ya Jamii NSSF Dkt. Carina Wangwe.https://youtu.be/PGFIfc3hQE8Â Â Â
SIMU.TV: Waziri wa maji Gerson Lwenge ameuagiza uongozi wa wilaya ya sengerema kubomoa nyumba ya aliyekua kaimu mkurugenzi wa wa halmashauri ya wilaya hiyo ambayo imejengwa juu ya bomba kuu la kusambaza maji. https://youtu.be/AxT-3YlpW9A
SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Songea mkoani Ruvuma atoa wito kwa walimu wa shule za sekondari wilayani humo kuhakikisha wanaikwamua manispaa ya Songea kielimu. https://youtu.be/Lz01oZyKiT4
SIMU.TV: Msimu wa mvua za masika unaoanza mwezi march unaonesha maeneo ya ukanda wa ziwa Victoria kuwa na mvua za wastani.https://youtu.be/dWmW4qoFruEÂ Â
SIMU.TV: Halmashauri ya manispaa ya Temeke imesema kuanzia leo itaanza rasmi operesheni ya usafi wa nyumba hadi nyuma.  https://youtu.be/zKCcPphP8r0
SIMU.TV: Kocha wa timu ya Twiga Stars Nasra Mohammed amesema atatumia mfumo wa kushambulia zaidi ili kuifunga Zimbambwe hii leo. https://youtu.be/N4WxzMkHkEI