PICHA: Benki ya NMB yaadhimisha siku ya michezo duniani

231
0
Share:

Tarehe 6 Aprili ya kila mwaka dunia huadhimisha siku ya michezo ambapo kwa hapa nchini benki ya NMB imeadhimisha siku hiyo kwa kushiriki michezo ya aina mbalimbali ikiwa ni pamoja na mpira wa miguu, mpira wa kikapu na mazoezi ya kukimbia (jogging).

Timu ya mpira wa miguu ilicheza mchezo wa kirafiki na timu ya Azam Veteran, timu ya mpira wa kikapu ikacheza na timu ya Donbosco na klabu ya mazoezi ya kukimbia (NMB Jogging Club) ikakimbia pamoja na kufanya mazoezi ya viungo. MO Blog tumekuwekea picha za wafanyakazi wa NMB wakiwa katika michezo hiyo.

MPIRA WA MIGUU (FOOTBALL)

 Timu ya mpira wa miguu ya benki ya NMB ikiwa katika mchezo wa kirafiki na timu ya Azam Veteran uliopigwa kwenye uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam.

MPIRA WA KIKAPU (BASKETBALL)

Timu ya mpira wa kikapu ya benki ya NMB ikichezo mchezo wa kirafiki na timu ya Donbosco.

MAZOEZI YA KUKIMBIA (JOGGING)

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker akiongoza wafanyakazi wa benki hiyo kufanya mazoezi ya viungo baada ya kufanya mazoezi ya kukimbia.

Share:

Leave a reply