PICHA: Beyonce apost picha ya kwanza akiwa na watoto wake mapacha

652
0
Share:

Mwanamuziki Beyonce ambaye pia ni mke wa rapa Jay Z amepost picha ya kwanza akiwa na watoto wake mapacha Sir Carter na Rumi, Beyonce amepost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter na Instagram.

Share:

Leave a reply