PICHA: Chiwenga na Mohadi waapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Zimbabwe

374
0
Share:

Aliyekuwa mkuu wa jeshi la Zimbabwe Constantino Chiwenga na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi chini ya Robert Mugabe, Kembo Mohadi wameapishwa kuwa Makamu wa Rais wa nchi hiyo.

Chiwenga na Mohadi waliteuliwa hapo jana (Desemba 27, 2017) na Rais wa nchi hiyo, Emmerson Mnangagwa.

Share:

Leave a reply