PICHA: Cristiano Ronaldo azindua pafyumu mpya za CR7

851
0
Share:

Staa wa soka wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amezindua pafyumu zake mpya ambazo zimepewa jina la CR7 Eau de Toilette.

Inaelezwa kwamba pafyumu hizo zitakuwa zinauzwa pauni £19 katika maduka mbalimbali ambayo zitakuwa zikiuzwa, MO Blog tumekuwekea picha za Ronaldo wakati akizunduza pafyumu hiyo.

Share:

Leave a reply