PICHA: Kampuni ya Unilever ilivyosherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika

487
0
Share:

Kampuni ya Unilever imeungana na watu wengine duniani kusherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika kwa kukutanisha watoto kutoka maeneo mbalimbali. MO Blog imekuwekea picha jinsi sherehe hiyo ilivyofanyika.

Watoto wa kifurahia  na kula  mkate uliopakwa siagi ya blue band mpya yenye vurutubishi vya omega 3  na 6 vinayvyoboresha afya   katika hafla ya maadhimisho ya  Siku ya Mtoto wa Afrika yaliofanyika Dar es salaam.

Mkurugenzi mtendaji wa Kapuni ya  Unilever Tanzania akielezea jinsi Kampuni ya Unilever inavyochagia juhudi za kuogeza viwango vya lishe bora katika kongamano la kuadhimisha Siku ya Mtoto wa  Afrika illioandaliwa na Shirika la Sema Tanzania.

Share:

Leave a reply