PICHA: Kikosi cha Taifa Stars chawasili nchini kikitokea Benin

681
0
Share:

Kikosi cha Taifa Stars kimewasili leo asubuhi kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Julius K. Nyerere kikitokea Benin ambako walikuwa na mchezo wa kirafiki. Timu hizo zilitoka sare ya goli 1-1.

Share:

Leave a reply