PICHA: Kilichomkuta Neymar katika mchezo wa Brazil na Bolivia

293
0
Share:

Michezo mitano ya kutafuta nafasi ya kushiriki Kombe la Dunia 2018 kwa nchi za America Kusini imechezwa, mmoja wapo ukiwa ni mchezo wa Brazil iliyokuwa mwenyeji wa Bolivia, Brazil ikiibuka na ushindi wa goli 5-0.

Magoli ya Brazil katika mchezo huo yalifungwa na Neymar dk. 11, Phillip Coutinho dk. 26, Filipe Luis dk. 39, Gabriel Jesus dk. 44 na Robert Firmino katika dakika ya 76.

Aidha katika mchezo huo, staa wa Brazil, Neymar alilazimika kutoka dakika ya 68 na kumpisha William baada ya kupigwa kiwiko na beki wa Bolivia, Ronaldo Raldes na kusababisha kupasuka usoni.

MO Blog imekuandalia picha za jinsi tukio hivyo lilivyojitokeza.

392e675600000578-0-image-a-4_1475818207591

392e65c000000578-0-image-a-2_1475818198050

392e518c00000578-0-image-a-1_1475818132555

392e631b00000578-0-image-a-3_1475818202960

392e0f9200000578-0-image-a-27_1475818764998

Share:

Leave a reply