PICHA: Lazaro Nyalandu amtembelea Lowassa ofisini

390
0
Share:

Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amemtembelea ofisini Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema na waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa ili kumjulia hali na kuzungumza kuhusu hali ya kisiasa nchini.Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema na waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa akimkaribisha ofisini kwake aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu.

Share:

Leave a reply