PICHA: Mohammed Dewji ‘MO’ akizindua Simba App

2203
0
Share:

Wakati Simba SC ikiwa kwenye sherehe ya Simba Day, shabiki wa klabu hiyo, Mohammed Dewji ‘MO’ amepewa heshima na uongozi wa klabu hiyo kuzindua app maalum ambayo imeanzishwa na klabu hiyo kwa lengo la kuwasogezea mashabiki habari muhimu ambazo zinahusu klabu. MO Blog imekuwekea picha MO Dewji akizindua Simba App.

Share:

Leave a reply