PICHA: Mrembo wa Afrika Kusini atwaa taji la Miss Universe 2017

260
0
Share:

Miss Afrika Kusini, Demi-Leigh Nel-Peters ametwaa taji la Miss Universe 2017 katika shindano ambalo limefanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Planet Hollywood mjini Las Vegas, Marekani.

Demi ametwaa taji hilo akiwashinda wenzake 92 kutoka mataifa mengine ambapo kwa Tanzania iliwakilishwa na Miss Universe Tanzania, Lilian Ericaah.

 

Share:

Leave a reply