PICHA: Puto “hot air balloon” laua watu 16

302
0
Share:

Watu wengi wamekuwa wakitumia kifaa hiki cha hot air balloon kama sehemu ya burudani kutokana na mwonekano wake lakini kifaa hicho hicho kimeripotiwa kusababisha vifo vya watu 16 baada ya kulipuka kikia hewani.

Tukio hilo lilitokea katika eneo la Austin, Texas Marekani ambapo taarifa zinaeleza kuwa katika puto hilo kulikuwa na rubani mmoja na watu wengine 15 na inasemekana mlipuko huo ulitokea maili 30 kutoka ardhini.

Chanzo cha mlipuko huo kinatajwa kuwa ni injini ya puto hilo kuwa na moto mkali kabla ya kupatwa na tatizo katika injini kisha kulipuka.

Aidha mpaka sasa hakuna taarifa zozote ambazo zimetolewa kuhusu kupatikana mtu yoyote ambaye alikuwa katika puto hilo.

36BB80EF00000578-3716039-image-a-51_1469908130277

Rubani wa hot air balloon akipiga picha na abiria wake kabla ya mlipuko kutokea.

36BCB47600000578-3716039-image-a-8_1469944666525

Maafisa wa usalama wakingalia puto lililopata mlipuko na kusababisha vifo vya watu 16.

36BC35EB00000578-3716039-Pictured_police_standing_around_the_wreckage-a-7_1469944508708

Share:

Leave a reply