PICHA: Rais JPM alivyoendesha harambee ya kuchangia ujenzi wa Parokia ya Bikira Maria Chato

1184
0
Share:

Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amendesha harambee ya kuchangia ujenzi wa Parokokia ya Bikira Maria lililopo Chato mkoani Geita. MO Blog imekuwekea picha jinsi Rais Magufuli alivyoendesha harambee hiyo.

Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli pamoja na mke wake MamaJaneth Magufuli wakitoa sadaka wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita.Leo 16 julai 2017.  Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakisikiliza mahubiri toka kwa Padri Henry Mulinganisa wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita.Leo 16 julai 2017.

Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisisitiza jambo wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita.Leo 16 julai 2017.

Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli aliyeshika kikapu cha sadaka akipokea sadaka toka kwa Mke wake Bi Janeth Magufuli wakati wa kuchangia ujenzi na upanuzi wa katika kanisa la Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita.Leo 16 julai 2017.

Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli aliyeshika kikapu cha sadaka akipokea sadaka toka kwa waumini mbalimbali waliohudhuria ibada katika kanisa la Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita Leo 16 julai 2017.

Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa ameshika kikapu chenye michango ya fedha zilizotolewa na waumini wa kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita kwaajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa hilo.

Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru mmoja wa waumini wa kanisa hilo ndugu Mwita Chacha mara baada ya kuchangia mifuko mitano ya saruji kwaaajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita.

Mama Janeth Magufuli mke wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiahidi mchango wake wa ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akishuhudia mmoja wa waumini wa kanisa hilo ndugu Deogratius Ambrosi mwenye ulemavu wa mkono,akitoa mchango wake wa kiasi cha shilingi elfu tano kwaajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru mmoja wa waumini wa kanisa hilo ndugu Deogratius Ambrosi mwenye ulemavu wa mkono,akitoa mchango wake wa kiasi cha shilingi elfu tano kwaajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwashukuru waumini walioshiki kuchangia ya ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita,ambapo zilikusanywa kiasi cha zaidi ya shilingi milioni kumi na tatu pamoja na ahadi mbalimbali za vikiwemo vifaa vya ujenzi.

Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa nje ya kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita,ambalo linaendelea kupanuliwa na kujengwa hapo akielekea kuwasalimia waumini walio kuwa nje ya kanisa na kuwaaga mara baada ya ibada.

Katibu wa Rais Ndugu Ngusa Samike akikabidhi mchango wa Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli jumla ya shilingi milioni kumi kwaajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita.

Waumini wa kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita wakiwa kwenye ibada.

Jengo la kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita linaloendelea kupanuliwa na kujengwa.

Share:

Leave a reply