PICHA: Rais JPM alivyompokea Rais wa Misri, Abdel Fattah el-Sisi

288
0
Share:

Rais wa Misri, Abdel Fattah el-Sisi tayari amewasili nchini kwa ziara ya siku mbili na kupokelewa na mwenyeji wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli. MO Blog tayari imezipata picha jinsi Rais alivyompokea Rais el-Sisi, ziangalie hapa chini.

Share:

Leave a reply