PICHA: Rais Kagame awasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja

175
0
Share:

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja na kupokelewa na mwenyeji wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Share:

Leave a reply