PICHA: Simba SC yawatambulisha Niyonzima, Gyan na Emmanuel Okwi

5275
0
Share:

Uongozi wa klabu ya Simba umewatambulisha wachezaji watatu wapya wa klabu hiyo ambao ni Haruna Niyonzima, Nicholas Gyan na Emmanuel Okwi, utambulisho mwingine wa wachezaji hao utakuwa ni Agosti, 8 kwenye Dimba Day itakayofanyika katika Uwanja wa Taifa, Dar, zaidi waweza kuangalia picha hapa chini.

 

Share:

Leave a reply