PICHA: Spika Ndugai atembelea Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu

423
0
Share:

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai ametembelea Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu lililopo Abu Dhabi na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge hilo, Dkt. Amal Al Qubaisi ambapo amewasilisha mapendekezo rasmi ya kuanzisha umoja na urafiki wa kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu. 

Share:

Leave a reply