PICHA: Timu ya gofu ya NMB yashiriki mashindano ya Monthly Mug

228
0
Share:

Timu ya gofu ya benki ya NMB imeshiriki mashindano ya gofu ya kila mwezi (Monthly Mug) yanayoandaliwa na Klabu ya Gofu ya Lugalo na kudhaminiwa na benki ya NMB ambapo washindi hupewa zawadi mbalimbali ambazo zimeandaliwa na waandaaji wa mashindano hayo. MO Blog tumekuwekea picha za Nahodha wa timu ya Gofu ya NMB, George Kivaria akishiriki mashindano ya Monthly Mug ya mwezi Novemba.

Nahodha wa timu ya Gofu ya NMB, George Kivaria akishiriki mashindano ya gofu ya kila mwezi (Monthly Mug) yanayoandaliwa na Klabu ya Gofu ya Lugalo na kudhaminiwa na benki ya NMB.

Share:

Leave a reply