PICHA: Ufunguzi wa mkutano mkuu wa COMNETA

204
0
Share:

Bodi ya Mtandao wa Vyombo vya Habari Jamii Tanzania (COMNETA) imekutana jijini Dar es Salaama kwa ajili ya kufanya mkutano mkuu wa mtandao huo ukiwa na lengo la kujadili mambo mbalimbali kuhusu maendeleo yamtandao huo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa Vyombo vya Habari Jamii Tanzania (COMNETA), Prosper Kwigize akifungua mkutano wa COMNETA.

 Mwanasheria wa Mtandao wa Vyombo vya Habari Jamii Tanzania (COMNETA) akitoa wasilisho kuhusu vipengele vya katiba ya mtandao huo.

Baadhi ya wanachama wa Mtandao wa Vyombo vya Habari Jamii Tanzania (COMNETA) wakifatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa siku ya kwanza ya mkutano wa COMNETA.

Share:

Leave a reply