PICHA: Viongozi wakubwa duniani wakiwa kwenye mwonekano wa ukimbizi

1243
0
Share:

Katika kuadhimisha Siku ya Wakimbizi Duniani, mchoraji Abdulla Al-Omari kutoka Syria amewachora viongozi mbalimbali wakubwa duniani wakiwa katika mwonekano wa wakimbizi. MO Blog imekuwekea picha ya viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mwonekano huo wa ukimbizi.

Rais wa Marekani, Donald Trump.

Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un.

Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel.

Rais wa Urusi, Vladimir Putin.

Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, David Cameron.

Marais wastaafu wa Ufaransa, François Hollande and Nicolas Sarkozy.

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan.

Rais zamani wa Iran, Mahmoud Ahmadinejad.

Rais mstaafu wa Marekani, Barack Obama.

Share:

Leave a reply