PICHA: Wananchi Singida wakifatilia Mkutano Mkuu Maalum

392
0
Share:

Wananchi mbalimbali nchini wamekuwa wakifatilia mkutano wa mkuu maalum ambao unaendela mkoani Dodoma, MO Blog imekuwekea picha za baadhi ya wananchi mkoani Singida wakifatilia mkutano huo. Baadhi ya wakazi wa Singida Mjini bila kujali itikadi zao za kisiasa wakifuatilia kwa makini Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika jana (12/3/2017) mjini Dodoma. (Picha na  Nathaniel Limu)

Share:

Leave a reply