PICHA: Waziri Mbarawa alipotembelea mradi wa ujenzi wa nyumba Magomeni

470
0
Share:

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa ametembelea eneo la Magomeni, Dar es Salaam kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba zinazojengwa katika eneo hilo. MO Blog imekuwekea picha za ziara hiyo.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akizungumza na watendaji wa Wakala wa Ujenzi nchini wakati alipotembelea kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba eneo la Magomeni mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Huduma za Ushauri toka Wakala wa Ujenzi nchini Daud Kondoro akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa wakati Waziri huyo alipotembelea kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba eneo la Magomeni mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa aliyenyoosha mkono akikagua mradi wa ujenzi wa nyumba eneo la Magomeni mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Mafundi wakiendelea na ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Magomeni mapema hii leo wakati Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa alipotembelea kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba eneo la Magomeni mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akizungumza na watendaji wa Wakala wa Ujenzi nchini wakati alipotembelea kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba eneo la Magomeni mapema hii leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Eliphace Marwa – Maelezo)

Share:

Leave a reply