PICHA: Waziri Ummy azindua Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto

414
0
Share:

1

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii. Jinsia na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akizungumza na wadau (hawapo pichani) kwa niaba ya Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan kabla ya uzinduzi wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto  jijini Dar es Salaam leo.

7

Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh. Jenista Joakim Mhagama akiongea na  wadau (hawapo pichani) kabla ya uzinduzi wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto  jijini Dar es Salaam leo.

6

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mh. Charles Mwijage akiongea na wadau (hawapo pichani) kabla ya uzinduzi wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto  jijini Dar es Salaam leo.

5

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea na wadau (hawapo pichani) kabla ya uzinduzi wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto  jijini Dar es Salaam leo.

dsc_0562

Mratibu Mkazi wa  Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akiongea na  wadau (hawapo pichani) kabla ya uzinduzi wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto  jijini Dar es Salaam leo.

9

Naibu Waziri Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura akiongea na  wadau (hawapo pichani) kabla ya uzinduzi wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto jijini Dar es Salaam leo.

2

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii. Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu (kulia) akibadilishana mawazo na Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh. Jenista Joakim Mhagama kabla ya uzinduzi wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto  jijini Dar es Salaam leo.

4

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii. Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akimkabidhi nakala ya Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto kwa Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Injinia Stella Manyanya baada ya uzinduzi wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto  jijini Dar es Salaam leo.

3

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii. Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu (kushoto) akionesha kwa wadau mbalimbali Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto  jijini Dar es Salaam leo.

dsc_0646

10

Naibu Waziri Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura (Kulia) akifurahia jambo na  kwa Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Injinia Stella Manyanya baada ya uzinduzi wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto  jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Benjamin Sawe-Maelezo)

 

Share:

Leave a reply