PICHA: Ziara ya Rais Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (Terminal III)

1226
0
Share:

Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo jumatano ya Februari, 8 amefanya ziara ya kushtukiza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal III) ambao bado unajengwa. MO Blog imekuwekea habari picha ya ziara ya Rais Magufuli katika uwanja huo.

Share:

Leave a reply