PizzaHut yaongeza migahawa Dar, yafungua mwingine Mlimani City na Oysterbay

2101
0
Share:

Idadi ya migahawa ya PizzaHut ambayo ni maarufu kwa uuzaji wa piza zenye viwango vya kimataifa imezidi kuongezeka kwa hapa nchini ambapo kwa mkoa wa Dar es Salaam umezidi kupata nafasi ya kipekee ya kuwa na migahawa mingi zaidi.

Jumatatatu ya Agosti, 7 PizzaHut imeandika historia nyingine nchini kwa kufungua migahawa miwili Dar, mmoja ukiwa Mlimani City na mwingine ukiwa Oysterbay, MO Dewji Blog ilikuwa mmoja wa mashuhuda wa ufunguzi wa mgahawa wa PizzaHut Mlimani City na tumekuwekea picha hapa chini ili na wewe uwe mmoja wa watu ambao wamepata nafasi ya kuona picha za ufunguzi wa mgahawa huo.

Share:

Leave a reply