Rais Dkt. Magufuli awasili Arusha kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

233
0
Share:
John Magufuli

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari aliyekuwa mmoja wa viongozi na wananchi waliojitokeza kwa wingi kumpokea alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika jijini Arusha.

Share:

Leave a reply