Rais JPM amteua Dkt. Wilbroad Slaa kuwa balozi

626
0
Share:

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Wilbroad Peter Slaa kuwa balozi. Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais IKULU imeeleza kuwa Dkt. Slaa ataapishwa baada ya taratibu kukamilika.

Share:

Leave a reply